Kuhusu Winprincess

4/5
Winprincess ni kampuni ya michezo ya kubashiri na bahati nasibu inayokua kwa kasi nchini Tanzania. Winprincess wanakupatia michezo ya kubashiri, kasino na michezo ya kubahatisha iliyo katika kiwango cha kimataifa.
Ni rahisi kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako ya Winprincess kwani Winprincess wanashirikiana na mitandao yote ya simu inayopatikana Tanzania inayotoa huduma ya miamala ya fedha.
Bonasi ya Ukaribisho
Tshs 1000 Bonasi ya Ukaribisho
18+ I Please play responsibly I Terms & Conditions apply





Accepted players from:

Tanzania
Key Facts
-
Founded: 2020
-
Licence: Tanzania
-
Licence Holder: Princess Leisure (Tanzania) Ltd
-
Products: Sports Betting, Casino, Poker & Virtual
-
Local Licence: Tanzania

Winprincess Score
-
Betting Markets ------------------ 80%
-
Odds --------------------------------- 80%
-
Website ----------------------------- 80%
-
Payments Options -------------- 75%
-
Withdrawal Speed -------------- 75%
-
Bonus & Promotions ----------- 75%
-
Customer Support -------------- 80%

Advantages

Disadvantages
-
Attractive Odds
-
Fast Withdrawal
-
Mobile Casino Apps for Android & iOS
-
Live Support Available 24/7
-
Notable Country Restriction
-
Small Casino Popular in Tanzania
Screenshots
![]() | ![]() | ![]() | ![]() |
---|---|---|---|
![]() | ![]() |
Taarifa za Winprincess
Winprincess ni kampuni mojawapo inayokua kwa kasi na kushika soko kubwa nchini Tanzania. Na jambo hili ni kwasababu Winprincess imekuja na huduma kabambe za michezo ya kubashiri, kasino na bahati nasibu zenye kukidhi viwango vya kimataifa. Ukijiunga na Winprincess utapata kubashiri katika michezo mbalimbali yenye chaguzi nyingi na kukufanya kuwa katika nafasi kubwa ya kushinda pesa nyingi.
Winprincess wamefanya jitihada kubwa kuhakikisha kwamba wateja wake waliopo Tanzania wanaweza kuweka na kutoa pesa kwa urahisi katika akaunti zao za michezo. Kupitia huduma za kifedha zitolewazo na makampuni yote ya simu yaliyopo Tanzania; Mpesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Halo Pesa na Zantel
Kuweka na Kutoa Pesa Winprincess
Winprincess inatoa njia rahisi za kuweza kutoa na kuweka pesa katika akaunti yako kwa wateja wake waliopo Tanzania. Kupitia huduma za M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halopesa, Easy Pesa na Selcom Huduma mteja anaweza kutoa na kuweka pesa kwa haraka zaidi katika akaunti yake ya Winprincess. Mteja anaweza kuweka kiwango chochote katika akaunti yake kuanzia Tshs. 1000 na kufurahia huduma zitolewazo na Winprincess.
Winprincess Casino
Ukijiunga na Winprincess utaweza kufurahia michezo mingi ya casino ya mtandaoni (online casino). Wateja wa Winprincess Tanzania wanaweza kujisajili na kufurahia gemu nyingi mno na za aina mbalimbali kuanzia zile za sloti mpya kabisa na gemu za mezani mpaka kwenye video poker na gemu za kasino za live dealer. Mtandao huu pia ni sehemu sahihi ya kupata gemu kubwa za kasino zinazopendwa na kuchezwa na wateja wengi huku zikisambazwa na wauzaji wa gemu mbalimbali.
Huduma kwa Wateja
Huduma kwa Wateja wa Winprincess inapatikana muda wowote unaotaka, na endapo unahitaji msaada wa kujisajili kwenye app ama kwenye masuala ya kucheza gemu utakutana na timu nzuri itakayokusaidia vyema kabisa kupitia njia mbalimbali kama vile ile ya barua pepe, simu au moja kwa moja unapochati nao kwenye tovuti yao. Unaweza kuwasiliana na timu ya Winprincess kupitia live chat katika tovuti yao, au kupitia namba +255 (0)746 983 800, WhatsApp namba +255 (0) 627 925 093, Telegram namba +255 (0) 768 045 860 kupitia barua pepe support@winprincess.co.tz.
Usalama na Usawa
Usalama na usawa katika kampuni ya Winprincess ni wa kiwango cha juu cha kuridhisha. Winprincess wanatumia seva ambazo zinalinda sana taarifa zako kuhakikisha kwamba wewe na taarifa zako binafsi mnalindwa vyema na mpo salama kabisa na haitolewi kwa mtu yeyote yule asiyehusika.
Pia, wanatumia programu nzuri na zilizothibitishwa na wauza gemu waliothibitishwa ulimwenguni kote ili kukupa wewe burudani ambayo inakufaa sana kwenye gemu za sloti za kasino dauniani kote – huku ikihakikisha kuwa kuna usawa kwa 100% wakati unatumia na kufurahia.
Njia za Malipo





