Kuhusu Premierbet

4/5
Premierbet Tanzania ni kampuni ya michezo ya kubashiri inayokua kwa kasi kubwa ikiwa na tovuti ya kuvutia na rahisi kutumia kwa mtumiaji yeyote yule hata ambaye ni mgeni katika michezo hii.
Kampuni ya Premierbet inampa mteja chaguzi ya michezo mingi yenye viwango vya kimataifa. Pia wana bahati nasibu kubwa za kuvutia na kwa sasa hadi kufikia zaidi ya Tshs. 500,000,000.
Key Facts
-
Founded: 2016
-
Licence: Tanzania, Ghana, Cameroon, Senegal, Mali
-
Licence Holder: N/A
-
Products: Sports Betting, Casino, Poker & Lottery
-
Local Licence: Tanzania

Premierbet Score
-
Betting Markets ------------------ 75%
-
Odds --------------------------------- 80%
-
Website ----------------------------- 80%
-
Payments Options -------------- 75%
-
Withdrawal Speed -------------- 75%
-
Bonus & Promotions ----------- 75%
-
Customer Support -------------- 75%

Advantages

Disadvantages
-
Stunning Website Design
-
Regular Odds Boosts
-
Handsome Jackpots
-
Cashout Option
-
Optmized Mobile Site
-
Notable Country Restriction
-
No eSport Betting Available
Screenshots
![]() | ![]() | ![]() | ![]() |
---|---|---|---|
![]() | ![]() |
Premierbet Tanzania
Yanapozungumziwa makampuni bora ya michezo ya kubashiri Tanzania, Premierbet ni mojawapo ya makampuni yanayoongoza kwa huduma bora. Wakiwa na tovuti yenye mvuto na rahisi kumuwezesha mteja kutumia, Premierbet pia wanatoa ofa mbalimbali kabambe za kuwanufaisha wateja wake waliopo Tanzania. Ukijiunga na Premierbet Tanzania utaweza kupata nafasi ya kushinda jackpot kubwa ya zaidi ya Tshs. 500,000,000.
Premierber imeweza kuwarahisishia wateja wake waliopo Tanzania kuweka na kutoa pesa kwa urahisi katika akaunti zao za Premierbet. Kupitia huduma za kifedha zitolewazo na makampuni yote ya simu yaliyopo Tanzania; Mpesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Zantel na Selcom Huduma. Pia kwa wateja wanaweza kufurahia huduma za Premierbet kupitia maduka mbalimbali ya Premierbet yanayopatikana katika miji mbalimbali iliyopo Tanzania.
Kuweka na Kutoa Pesa Premierbet
Premierbet inazo njia rahisi za kuweza kutoa na kuweka pesa katika akaunti za wateja wake waliopo Tanzania. Kupitia huduma za M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Easy Pesa na Selcom Huduma mteja anaweza kutoa na kuweka pesa kwa haraka zaidi katika akaunti yake ya Premierbet. Mteja anaweza kuweka kiwango chochote katika akaunti yake kuanzia Tshs. 1000 na kufurahia huduma zitolewazo na Premierbet.
Premierbet Casino
Wapenzi wa michezo ya casino wanaweza kufurahia michezo mingi ya casino ya mtandaoni (online casino). Wateja wa Premierbet Tanzania wanaweza kujisajili na kufurahia gemu nyingi mno na za aina mbalimbali kuanzia zile za sloti mpya kabisa na gemu za mezani mpaka kwenye video poker na gemu za kasino za live dealer. Mtandao huu pia ni sehemu sahihi ya kupata gemu kubwa za kasino zinazopendwa na kuchezwa na wateja wengi huku zikisambazwa na wauzaji wa gemu mbalimbali.
Huduma kwa Wateja
Huduma kwa wateja wa Premierbet inapatikana muda wowote unaotaka, na endapo unahitaji msaada wa kujisajili kwenye app ama kwenye masuala ya kucheza gemu utakutana na timu nzuri itakayokusaidia vyema kabisa kupitia njia mbalimbali kama vile ile ya barua pepe, simu au moja kwa moja unapochati nao kwenye tovuti yao. Unaweza kuwasiliana na timu ya Premierbet kupitia live chat katika tovuti yao, barua pepe au kupitia namba ya bure/toll-free 0800 750 032.
Usalama na Usawa
Usalama na usawa katika kampuni ya Premierbet ni wa kiwango cha juu cha kuridhisha. Premierbet wanatumia seva ambazo zinalinda sana taarifa zako kuhakikisha kwamba wewe na taarifa zako binafsi mnalindwa vyema na mpo salama kabisa na haitolewi kwa mtu yeyote yule asiyehusika.
Njia za Malipo





