top of page
PMBET logo.png
android-ios-windows-logo.png
Play Master
Promo code: A174

Kuhusu Play Master

4 star.png
4/5
`Tangu mwaka 2014 kampuni ya kubashiri ya Play Master maarufu kwa kifupi kama PMBet imeteka soko la wabashiri wa Tanzania huku ikitoa nafasi kubwa kwa wateja wake kushinda pesa nyingi kupitia michezo mbalimbali na jackpot.
PMBet pia wanajulikana kwa huduma ya michezo kabambe ya casino. Kama wewe ni mpenzi wa michezo ya casino kutoka Tanzania basi PMBet ni kampuni sahihi ya kushiriki nayo.

Bonasi ya Ukaribisho

Bonasi ya 500% kwa 
bashiri ya haraka

18+ I Please play responsibly I Terms & Conditions apply

mpesa2.jpg
TigoPesa.jpg
halopesa1.png
airtel_money.jpg
download.png

Accepted players from:

TZ.png

Tanzania

Key Facts
  • Founded: 2014

  • Licence: Tanzania, Kenya, Zambia

  • Licence Holder: N/A

  • Products: Sports Betting, Casino, Poker & Lottery

  • Local Licence: Tanzania

score.png
Play Master Score
  • Betting Markets ------------------ 75%

  • Odds --------------------------------- 80%

  • Website ----------------------------- 80%

  • Payments Options -------------- 70%

  • Withdrawal Speed --------------  75%

  • Bonus & Promotions ----------- 75%

  • Customer Support -------------- 75%

pro.png
Advantages
  • Simple Navigated Website

  • Regular Odds Boosts

  • Qick Signup

  • Cashout Option

  • Live Casino

cons.png
Disadvantages
  • Notable Country Restriction

  • No iOS App

Screenshots

pmm1
pmm6
Pmm3
pmm5
pmm2
pmm4

Play Master Tanzania

Play Master ni kampuni ya kubeti inayotoa odds nzuri kwenye michezo mbalimbali kwa wateja wake waliopo Tanzania. Kampuni ya Play Master inapatikana pia katika nchi ya Kenya na Zambia. Kampuni ya Play Master ilianza kufanya shughuli zake mwaka 2014 na imekuwa miongoni mwa kampuni bora Tanzania ikiwa inatoa huduma zenye ubora wa kimataifa.

Play Master inavyo vibali kamili kutoka katika mamlaka inayohusika na kusimamia michezo ya bahati nasibu Tanzania (Gaming Board of Tanzania). Kampuni ya Play Master inawahakikishia wateja wake wa Tanzania huduma bora katika nyenzo zote.

PMBet-scaled.jpg

Kuweka na Kutoa Pesa Play Master

Play Master inazo njia rahisi za kuweza kutoa na kuweka pesa katika akaunti za wateja wake waliopo Tanzania. Kupitia huduma za M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na Halo Pesa mteja anaweza kutoa na kuweka pesa kwa haraka zaidi katika akaunti yake ya Play Master. Mteja anaweza kuweka kiwango chochote katika akaunti yake kuanzia Tshs. 1000 na kufurahia huduma zitolewazo na Play Master.

Play Master Casino

Play Master ni miongoni mwa kampuni chache zinazotoa huduma bomba za online casino Tanzania. Ikiwa na huduma za live casino wateja wa Play Master Tanzania wanaweza kujisajili na kufurahia gemu nyingi mno na za aina mbalimbali kuanzia zile za sloti mpya kabisa na gemu za mezani mpaka kwenye video poker na gemu za casino za live dealer. Mtandao huu pia ni sehemu sahihi ya kupata gemu kubwa za kasino zinazopendwa na kuchezwa na wateja wengi huku zikisambazwa na wauzaji wa gemu mbalimbali.

pmbet-app.jpg

Huduma kwa Wateja

Huduma kwa wateja wa Play Master inapatikana muda wowote unaotaka, na endapo unahitaji msaada wa kujisajili kwenye app ama kwenye masuala ya kucheza gemu utakutana na timu nzuri itakayokusaidia vyema kabisa kupitia njia mbalimbali kama vile ile ya barua pepe, simu au moja kwa moja unapochati nao kwenye tovuti yao. Unaweza kuwasiliana na timu ya Play Master kupitia live chat katika tovuti yao au barua pepe support@pmbet.co.tz.

Usalama na Usawa

Usalama na usawa katika kampuni ya Play Master ni wa kiwango cha juu cha kuridhisha. Premierbet wanatumia seva ambazo zinalinda sana taarifa zako kuhakikisha kwamba wewe na taarifa zako binafsi mnalindwa vyema na mpo salama kabisa na haitolewi kwa mtu yeyote yule asiyehusika.

Njia za Malipo

mpesa2.jpg
TigoPesa.jpg
airtel_money.jpg
halopesa1.png
download.png

Bonus & Promotion

Betting Tips & Prediction
Best Casino Games
Best Casino Promotions
Punters Forums
Best Online Casinos
Where to Play
pmbet1.png
PMBET logo.png
Play Master
Ushindi ni Uhakika 100% kwa
Mkeka Wako
Promo code: A174
bottom of page