Kuhusu Meridianbet

4/5
Je! wewe ni mkamaria kutoka Tanzania na unatafuta kampuni bora ya mikeka? Shaka ondoa. Meridiniabet ni kampuni ya michezo ya kubahatisha iliyokita mizizi yake Tanzania kwa muda mrefu sasa. Meridianbet inatoa huduma nzuri za kiwango cha kimataifa kwa wateja wake waliopo Tanzania. Kupitia huduma za kifedha za mitandao maarufu iliyopo Tanzania, unaweza kufanya miamala kwa urahisi na Meridianbet.
Key Facts
-
Founded: 2001
-
Licence: Malta
-
Licence Holder: Meridian Gaming Ltd
-
Products: Sports Betting, Casino, Poker & Lottery
-
Local Licence: Tanzania

Meridianbet Score

Advantages

Disadvantages
-
Betting Markets ------------------ 80%
-
Odds --------------------------------- 80%
-
Website ----------------------------- 85%
-
Payments Options -------------- 70%
-
Withdrawal Speed -------------- 80%
-
Bonus & Promotions ----------- 75%
-
Customer Support -------------- 70%
-
Variety of Sports
-
Available in Swahili
-
Fast Withdrawals
-
Casino Games
-
Excellent Promotions
-
Cashout Option
-
Many Country Restriction
-
Complicated for Inexperienced
-
No Bet Builder
Screenshots
![]() | ![]() | ![]() | ![]() |
---|---|---|---|
![]() | ![]() |
Meridianbet Tanzania
Kampuni ya Meridianbet ilianzishwa mwaka 2001 barani Ulaya ikiwa imejikita katika michezo ya kubashiri. Mpaka hivi sasa kampuni ya Meridianbet inafanya kazi ndani ya nchi zaidi ya 18 barani Ulaya, Africa na Latin America. Kampuni ya Meridianbet hivi sasa imepanua wigo wake na kujumuisha michezo ya kubashiri, kasino na bahati nasibu.
Meridianbet ni kampuni kongwe Tanzania kwa michezo ya kubashiri kwani imefanya kazi muda mrefu chini humo. Kupitia huduma zake zinazotolewa kwenye maduka ya kubashiri (bet shops) na mtandaoni (online betting) Meridianbet imekuwa kampuni inayoongoza kwa huduma bora nchini Tanzania na kuwa kampuni inayo aminika na kupendelewa zaidi.
Kuweka na Kutoa Pesa Meridianbet
Meridianbet inatoa njia rahisi za kuweza kutoa na kuweka pesa katika akaunti yako kwa wateja wake waliopo Tanzania. Kupitia huduma za M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halopesa, Kwikpay, Mlipa na Selcom Huduma mteja anaweza kutoa na kuweka pesa kwa haraka zaidi katika akaunti yake ya Meridianbet. Mteja anaweza kuweka kiwango chochote katika akaunti yake kuanzia Tshs. 1000 na kufurahia huduma zitolewazo na Meridianbet
Meridianbet Casino
Meridianbet wanakuletea michezo ya bomba ya casino ya mtandaoni (online casino). Kasino ya Meridianbet ni kasino ya mtandaoni iliyopo Tanzania ambapo wateja wanaweza kujisajili na kufurahia gemu nyingi mno na za aina mbalimbali kuanzia zile za sloti mpya kabisa na gemu za mezani mpaka kwenye video poker na gemu za kasino za live dealer. Mtandao huu pia ni sehemu sahihi ya kupata gemu kubwa za kasino zinazopendwa na kuchezwa na wateja wengi huku zikisambazwa na wauzaji wa gemu mbalimbali duniani ambao ni pamoja na akina Playtech, Microgaming, Novomatic Greentube pamoja na wale akina Pragmatic Play.
Huduma kwa Wateja
Huduma kwa Wateja wa Meridianbet inapatikana muda wowote unaotaka, na endapo unahitaji msaada wa kujisajili kwenye app ama kwenye masuala ya kucheza gemu utakutana na timu nzuri itakayokusaidia vyema kabisa kupitia njia mbalimbali kama vile ile ya barua pepe, simu au moja kwa moja unapochati nao kwenye tovuti yao. Unaweza kuwasiliana na timu ya Meridianbet kupitia live chat katika tovuti yao, au kupitia namba +255 (0)768 988 200 au kupitia barua pepe info@meridianbet.co.tz
Usalama na Usawa
Usalama na usawa ndiyo kitu cha msingi sana katika kila kampuni ya kubashiri, Meridianbet tunaipa tano! Wanatumia seva ambazo zinalinda sana taarifa zako kuhakikisha kwamba wewe na taarifa zako binafsi mnalindwa vyema na mpo salama kabisa na haitolewi kwa mtu yeyote yule asiyehusika.
Pia, wanatumia programu nzuri na zilizothibitishwa na wauza gemu waliothibitishwa ulimwenguni kote ili kukupa wewe burudani ambayo inakufaa sana kwenye gemu za sloti za kasino dauniani kote – huku ikihakikisha kuwa kuna usawa kwa 100% wakati unatumia na kufurahia.
Njia za Malipo






