Kuhusu Gal Sport

4/5
GAL Sports Betting ni moja ya makampuni makubwa ya kubashiri mtandaoni Tanzania. GAL Sports Betting wanapatikana katika nchi ya Uganda pia wakiwa na maduka (bet shops) yao pia katika miji mbalimbali ya Tanzania na Uganda.
GAL Sport Betting wanazo huduma nzuri za kubashiri michezo mbalimbali huku wakitoa odds za kuvutia. Pia wanayo michezo mingi ya casino.
Key Facts
-
Founded: 2017
-
Licence: Uganda & Tanzania
-
Licence Holder: Gal Sport Betting LTD
-
Products: Sports Betting, Casino, Poker
-
Devices: Desktop & Mobile

Gal Sport Score
-
Betting Markets ------------------ 75%
-
Odds --------------------------------- 80%
-
Website ----------------------------- 75%
-
Payments Options -------------- 75%
-
Withdrawal Speed -------------- 75%
-
Bonus & Promotions ----------- 70%
-
Customer Support -------------- 80%

Advantages

Disadvantages
-
Quick and Easy Registration process
-
Low Deposit Limits
-
Support Live Chat
-
Interactive Mobile App
-
Handsome Jackpots
-
No Online Casino Games
-
Some Prints on Website are too Small
Screenshots
![]() | ![]() | ![]() | ![]() |
---|---|---|---|
![]() | ![]() |
Gal Sport Tanzania
Gal Sport Betting ikijulikana kwa kifupi kama GSB ni kampuni ya michezo ya kubashiri iliyoteka soko kubwa Tanzania na Uganda. Ikiwa imeanzishwa mwaka 2017 Gal Sport Betting ni miongoni mwa makampuni maarufu kwa sasa nchini Tanzania.
Gal Sport Betting ikiwa na michezo mingi na chaguzi nyingi pia, kampuni hii pia inayo michezo pendwa ya casino za mtandaoni. Kampuni ya Gal Sport Betting inafanya kila jitihada kuhakikisha wateja wake wanapo huduma bora yenye viwango vya kimataifa.
Kuweka na Kutoa Pesa Gal Sport Betting
Kupitia huduma za kifedha zitolewazo na makampuni yote makubwa yaliyopo nchini Tanzania, wateja wa Gal Sport Betting wanaweza kutoa na kuweka pesa katika akaunti zao kwa urahisi kabisa. Wateja wa Gal Sport Betting wanaweza kutoa pesa kupitia M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa na Halo Pesa.
Aplikesheni ya Android
Gal Sport Betting wanayo aplikesheni bomba ya simu janja za android inayomuwesha mteja kupata huduma zote kwa haraka na kwa urahisi. Kupitia program aplikesheni ya Gal Sport Betting wateja wanaweza kufurahia huduma zitolewazo na kampuni mahali popote pale. Lakini hata kwa wateja wanaotumia programu ya iOS kwenye simu zao wanaweza kufurahia tovuti ya Gal Sport Betting iliyotengenezwa mahususi kwa ajili ya simu janja.
Bonasi na Promosheni
Gal Sport betting wanatoa promosheni na bonasi mbalimbali za kuvutia zenye lengo la kuwanufaisha wateja wake kwa kiwango kikubwa. Pia wanazo jackpots kubwa zinazomuwezesha mteja kushinda pesa nyingi sana hadi zaidi ya Tshs. 100,000,000.
Huduma kwa Wateja
Huduma kwa wateja wa Gal Sport Betting inapatikana muda wowote unaotaka, na endapo unahitaji msaada wa kujisajili kwenye app ama kwenye masuala ya kucheza gemu utakutana na timu nzuri itakayokusaidia vyema kabisa kupitia njia mbalimbali kama vile ile ya barua pepe, simu au moja kwa moja unapochati nao kwenye tovuti yao. Unaweza kuwasiliana na timu ya Gal Sport Betting kupitia live chat katika tovuti yao, au kupitia namba ya bure (toll-free) 0800 712 345, au kupitia barua pepe customercare@gsb.co.tz.
Usalama na Usawa
Usalama na usawa katika kampuni ya Gal Sport Betting ni wa kiwango cha juu cha kuridhisha. Gal Sport Betting wanatumia seva ambazo zinalinda sana taarifa zako kuhakikisha kwamba wewe na taarifa zako binafsi mnalindwa vyema na mpo salama kabisa na haitolewi kwa mtu yeyote yule asiyehusika.
Njia za Malipo





