Kuhusu Parimatch

4 star.png
4/5
Parimatch ni kampuni ya kimataifa ya michezo ya kubashiri inayokua kwa kasi kubwa ikiwa na tovuti ya kuvutia na rahisi kutumia kwa mtumiaji yeyote yule hata ambaye ni mgeni katika michezo hii.

Kampuni ya Parimatch inampa mteja chaguzi ya michezo mingi yenye viwango vya kimataifa. Pia wanayo michezo mingi ya kasino ya viwango vya kimataifa utakayoweza kuifurahia.

Bonasi ya Ukaribisho

Bonasi ya kibabe 
hadi 200%

18+ I Please play responsibly I Terms & Conditions apply

mpesa2.jpg
TigoPesa.jpg
halopesa1.png
airtel_money.jpg
mpesa1.jpeg

Accepted players from:

TZ.png

Tanzania

Key Facts
 • Founded: 1996

 • Licence: Curacao, UKGC

 • Local Licence: Tanzania

 • Licence Holder: Pari-Match N.V

 • Products: Sports Betting, Casino, Poker & Lottery

 • Bookmaker Type: High Odds, European

score.png
Parimatch Score
 • Betting Markets ------------------ 90%

 • Odds --------------------------------- 90%

 • Website ----------------------------- 85%

 • Payments Options -------------- 80%

 • Withdrawal Speed --------------  85%

 • Bonus & Promotions ----------- 80%

 • Customer Support -------------- 85%

pro.png
Advantages
cons.png
Disadvantages
 • 30+ Sports

 • 100+ Extra Markets Per Game

 • Handsome High Odds

 • Fast Payout

 • Best Mobile Site

 • Notable Country Restriction

 • 95% on Asian Handcaps

Screenshots

2PARIB
1PARIA
4PARID
3PARIC
5PARIE
6PARIF

Parimatch Tanzania

Yanapozungumziwa makampuni bora ya michezo ya kubashiri Tanzania, Parimatch ni mojawapo ya makampuni yanayoongoza kwa huduma bora. Wakiwa na tovuti yenye mvuto na rahisi kumuwezesha mteja kutumia, Parimatch pia wanatoa ofa mbalimbali kabambe za kuwanufaisha wateja wake waliopo Tanzania. Ukijiunga na Parimatch Tanzania utaweza kupata nafasi ya kushinda jackpot kubwa ya zaidi ya Tshs. 100,000,000.

Parimatch imeweza kuwarahisishia wateja wake waliopo Tanzania kuweka na kutoa pesa kwa urahisi katika akaunti zao za Parimatch. Kupitia huduma za kifedha zitolewazo na makampuni yote ya simu yaliyopo Tanzania; Mpesa, Airtel Money, Tigo Pesa na Halopesa. Pia kwa wateja wanaweza kufurahia huduma za Parimatch kupitia maduka mbalimbali ya Parimatch yanayopatikana katika miji mbalimbali iliyopo Tanzania.

parimatch.jpeg

Kuweka na Kutoa Pesa Parimatch

Parimatch inazo njia rahisi za kuweza kutoa na kuweka pesa katika akaunti za wateja wake waliopo Tanzania. Kupitia huduma za M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na Halopesa mteja anaweza kutoa na kuweka pesa kwa haraka zaidi katika akaunti yake ya Parimatch. Mteja anaweza kuweka kiwango chochote katika akaunti yake kuanzia Tshs. 1000 na kufurahia huduma zitolewazo na Parimatch.

Parimatch Casino

Wapenzi wa michezo ya casino wanaweza kufurahia michezo mingi ya casino ya mtandaoni (online casino). Wateja wa Parimatch Tanzania wanaweza kujisajili na kufurahia gemu nyingi mno na za aina mbalimbali kuanzia zile za sloti mpya kabisa na gemu za mezani mpaka kwenye video poker na gemu za kasino za live dealer. Mtandao huu pia ni sehemu sahihi ya kupata gemu kubwa za kasino zinazopendwa na kuchezwa na wateja wengi huku zikisambazwa na wauzaji wa gemu mbalimbali.

parip.png

Huduma kwa Wateja

Huduma kwa wateja wa Parimatch inapatikana muda wowote unaotaka, na endapo unahitaji msaada wa kujisajili kwenye app ama kwenye masuala ya kucheza gemu utakutana na timu nzuri itakayokusaidia vyema kabisa kupitia njia mbalimbali kama vile ile ya barua pepe, simu au moja kwa moja unapochati nao kwenye tovuti yao. Unaweza kuwasiliana na timu ya Parimatch kupitia live chat katika tovuti yao, barua pepe au kupitia namba za mawasiliano zinazopatikana katika tovuti yao.

Usalama na Usawa

Usalama na usawa katika kampuni ya Parimatch ni wa kiwango cha juu cha kuridhisha. Parimatch wanatumia seva ambazo zinalinda sana taarifa zako kuhakikisha kwamba wewe na taarifa zako binafsi mnalindwa vyema na mpo salama kabisa na haitolewi kwa mtu yeyote yule asiyehusika.

Njia za Malipo

mpesa2.jpg
20 more.png
TigoPesa.jpg
airtel_money.jpg
halopesa1.png
mpesa1.jpeg

Bonus & Promotion

Wakubet forum.png
parimatch-logo-india.png
Odds Kubwa na Ushindi 
wa Kibabe