Kuhusu 888bet

5/5
888bet ni kampuni kubwa yenye viwango vya kimataifa inayokupatia uwanja mpana wa kuchagua kile unachokipenda. 888bet wanayo michezo mingi ya kubashiri na ya kasino.
Kupitia njia rahisi za M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Halopesa na Ezy Pesa unaweza kuweka na kutoa pesa kwa urahisi na kwa haraka katika akaunti yako ya 888bet.
Key Facts
-
Founded: 2022
-
Licence: Tanzania
-
Licence Holder: Port Archia Tanzania
-
Products: Sports Betting, Casino, Poker & Lottery
-
Bookmaker Type: High Odds, European

888bet Score
-
Betting Markets ------------------ 90%
-
Odds --------------------------------- 90%
-
Website ----------------------------- 85%
-
Payments Options -------------- 80%
-
Withdrawal Speed -------------- 85%
-
Bonus & Promotions ----------- 80%
-
Customer Support -------------- 85%

Advantages

Disadvantages
-
30+ Sports
-
100+ Extra Markets Per Game
-
Handsome High Odds
-
Fast Payout
-
Best Mobile Site
-
Notable Country Restriction
Screenshots
![]() | ![]() | ![]() | ![]() |
---|---|---|---|
![]() | ![]() |
888bet
888bet ni mojawapo ya kampuni kubwa inayofanya vizuri kwa sasa katika soko la michezo ya kubahatisha Afrika ya Mashariki na Dunia nzima kwa ujumla. Kwa sasa kampuni hii Afrika ya Mashariki inapatikana Kenya na Tanzania.
888bet imeweza kuwarahisishia wateja wake waliopo Tanzania na Kenya kuweka na kutoa pesa kwa urahisi katika akaunti zao za 888bet. Kupitia huduma za kifedha zitolewazo na makampuni yote ya simu yaliyopo Tanzania na Kenya; Mpesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Ezy Pesa na Halopesa.
Kuweka na Kutoa Pesa 888bet
888bet inazo njia rahisi za kuweza kutoa na kuweka pesa katika akaunti za wateja wake waliopo Tanzania na Kenya. Kupitia huduma za M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na Halopesa mteja anaweza kutoa na kuweka pesa kwa haraka zaidi katika akaunti yake ya 888bet. Mteja anaweza kuweka kiwango chochote katika akaunti yake kuanzia Tshs. 1000 kwa Tanzania na Kshs. 50 kwa Kenya.
888bet Casino
Wapenzi wa michezo ya casino wanaweza kufurahia michezo mingi ya casino ya mtandaoni (online casino). Wateja wa 888bet Tanzania na Kenya wanaweza kujisajili na kufurahia gemu nyingi mno na za aina mbalimbali kuanzia zile za sloti mpya kabisa na gemu za mezani mpaka kwenye video poker na gemu za kasino za live dealer. Mtandao huu pia ni sehemu sahihi ya kupata gemu kubwa za kasino zinazopendwa na kuchezwa na wateja wengi huku zikisambazwa na wauzaji wa gemu mbalimbali.
Huduma kwa Wateja
Huduma kwa wateja wa 888bet inapatikana muda wowote unaotaka, na endapo unahitaji msaada wa kujisajili kwenye app ama kwenye masuala ya kucheza gemu utakutana na timu nzuri itakayokusaidia vyema kabisa kupitia njia mbalimbali kama vile ile ya barua pepe, simu au moja kwa moja unapochati nao kwenye tovuti yao. Unaweza kuwasiliana na timu ya 888bet kupitia live chat katika tovuti yao, barua pepe au kupitia namba za mawasiliano zinazopatikana katika tovuti yao.
Usalama na Usawa
Usalama na usawa katika kampuni ya 888bet ni wa kiwango cha juu cha kuridhisha. 888bet wanatumia seva ambazo zinalinda sana taarifa zako kuhakikisha kwamba wewe na taarifa zako binafsi mnalindwa vyema na mpo salama kabisa na haitolewi kwa mtu yeyote yule asiyehusika.
Njia za Malipo





